Tuesday, September 3, 2013

Keki za mifugo

Wengi wetu hupenda kula keki.Lakini hata mifugo inapenda kula keki.Keki za mifugo mara nyingi ni manyasi yaliyokatwa na kufungwa vizuri.Pichani ni baadhi ya keki za mifugo.Kwa maelezo zaidi yajinsi ya kuzipata keki hizi na matumizi yake onana na mtaalamu wa mifugo aliyekaribu nawe au ofisi za mifugo.

No comments: