Monday, October 21, 2013

Vijana wajenzi wa nyumba Kisemvule


Kijiji cha Kisemvule mkoa wa Pwani  kinakua kwa haraka sana. Karibu kila siku nyumba mpya zisizopungua 10 zinajengwa hapo kijijini. Hii imewafanya vijana wengi wa kijijini hapo kujifunza kazi ya ujenzi wa nyumba.

No comments: