Monday, October 21, 2013

Kisemvule wameanza kumtafuta 'Messi' wao

Kijiji cha Kisemvule mkoa wa Pwani kinao vijana wengi wanaocheza mpira wa miguu wenye vipaji. Pamoja na kupenda mchezo huo lakini hawana vifaa vya michezo. Naamini wakipata vifaa hivyo na kupata mafunzo yanayostahili wanauhakika wa kumpata 'Messi' wao!

No comments: