Tuesday, October 22, 2013

Mashine ya kupandia muhogo

Si  mahindi tu yanayoweza kupandwa na mashine bali hata muhogo  unaweza kutumia mashine kwa kupandia ikiwa una shamba lenye eneo kubwa. Pichani trekta ikivuta mashine ya kupandia muhogo. (Picha kwa hisani ja kijarida cha IITA)

No comments: