Monday, October 21, 2013

Maandalizi ya harusi ya Joe Mutahangarwa

Maandalizi ya harusi ya Bw. Joseph Mutahangarwa a.k.a Joe yanaendelea huku Vikindu- TANDAN FARMS - RESTAURANT. Harusi itafanyika  tarehe 19/10/2013 kwenye kanisa la Mt. Vinsenti wa Paulo Vikindu siku ya Jumamosi kuanzia saa 9.00 jioni. Pichani mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Bw. Kampa akihesabu fedha za michango iliyotolewa na wadau wa sherehe hiyo huku Bw.harusi mtarajiwa (kulia) akiangalia kwa makini.

4 comments:

Rodney J Massawe said...

ITS GOOD TO HAVE THEM HISTORIES ON FILE IKE THIS.
CHEERS.
JOE

Unknown said...

SORRY, ITS JOE

Unknown said...

WWW.JOE-TZNEWS.BOGSPOT.COM

Unknown said...

SORRY AGAIN ITS www.joe-tznews.bogspot.com