Monday, October 21, 2013

Vijana wa Kise Kids

Vijana hawa wa Timu ya soka ya kijijini Kisemvule  iitwayo kwa  'Kise Kids  Soccer Club' wamepania kuleta mabadiliko katika soka la Tanzania.

No comments: