Tuesday, October 22, 2013

Unga wa Muhogo kwenye viroba


Bidhaa yoyote inayoandaliwa vizuri inavutia walaji. Angalia jinsi unga wa muhogo ulivyowekwa vizuri kwenye viroba tayari kwa kuuzwa. Unga wa muhogo ni mzuri na unapendwa na walaji wa sehemu nyingi nchini Tanzania. Kilimo hiki hakina budi kupewa kipaumbele hapa nchini si kwa njaa tu bali kwa kuongeza kipato cha wakulima wetu.  (Picha kwa hisani ya IITA).

No comments: