Thursday, October 31, 2013

Siku Joe Mutahangarwa alipovishwa pete kanisani

Tarehe 26/10/2013 ndani ya Kanisa la Mt. Vinsenti wa Paulo-Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam. Bw. Joe Mutahangarwa  alivishwa pete ya  ndoa na mkewe Daphrosa Nangeda (Pichani) na baadaye tafrija ya nguvu ilifanyika huko Jesus Town Vikindu, TANDAN Restaurant.

No comments: