Thursday, July 3, 2008

Utemi wa akina Fundikira bado unaenziwa Tabora

Kando kando ya barabara ya kwenda Sikonge kilomita chache kutoka Tabora mjini ndiko kwenye asili ya ukoo wa akina Fundikira.

Mtemi Kalunde Fundikira ndiye aliyemzaa Mtemi Saidi Fundikira baba wa Chifu Abdallah Fundikira aliyefariki hivi karibuni.

Nyumbani kwao akina Fundikira kuna historia isiyofutika. Makaburi yapo, nyumba ya kutawazia watemi ipo na kuna dalili zote za kufuata taratibu za kimila.

Nani ambaye ameachiwa uchifu kwenye ukoo wa akina Fundikira?

Soma blog hii upate jibu.

2 comments:

Unknown said...

Hongera, ndugu

Unknown said...

Baada ya hongera, naomba unnifahamishe chanzo/vyanzo info unayotumia (i.e. sources). Nijuavyo mimi ambaye ni mjukuu wa Mtemi Saidi Fundikira, Mtemi Kalunde hakua mama yake Mtemi Saidi.