Monday, February 22, 2010

Anayesema hakuna chochote kwenye sekta ya KILIMO mwongo


Angalia kwenye picha wataalamu wakiwa kwenye viatu vya kazi (boots) mwangalie Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifurahia shamba zuri la mahindi kwa ajili ya kuzalisha mbegu linalomilikiwa na JKT Mlale wilaya ya Mbinga.

2 comments:

Bennet said...

Tatizo la kilimo chetu ni kwamba tunahangaika na kilimo kidogo kidogo badala ya kufanya kilimo kikubwa (labda kwa kuogopa mabepari kuhodhi ardhi) na pia baadhi ya wakulima wetu ni wavivu
Kuna mradi mmoja wa umwagiliaji maji ambao umegharimu zaidi ya bilioni 2, jamaa ni wavivu hadi kusafisha mitaro ya kupitisha maji sasa sijui wanasubiri serekali iwasafishie mitaro?

Innocent John Banzi said...

Bennet
Nakuhukuru sana kwa comment yako. Ni kweli Watanzania walio wengi ni wavivu.Hata huku kushindwa kwa watoto wetu kimasomo ni sababu ya uvivu. Wale wanaiofanya jitahada hufaulu. Nchi hii kuna investment kubwa zilizokwishafanyika lakini kuziendeleza ni tatizo na sababu kubwa ni kutowajibika.