Monday, February 22, 2010

Kumbe Ulaya nako barabara mbovu kama bongo!


Unaulizwa, kama msichana huyu alikupita wakati ukimuomba lift. Ukimkuta kwenye hali hii utamsaidia?

1 comment:

HOOVER said...

Hapa sio barabarani inaonekana quarry au shamba ~ labda yupo porini akufuata adventure. Mzungu pesa ya barabara natumia barabarani sio kwa kununua majumba katika nchi za kigeni ambazo hata kuishi akubaliwi - wanasiasa wakenya wanajua ninachokisema. Mwafrika ameshindwa na concept ya delayed gratification - ukitumia kwa barabara leo kesho utaweza kwenda kutafuta mali au raha kwa urahisi zaidi.