Friday, January 2, 2009

Beckham lazima afahamu kuwa sasa mpira basi

David Beckham ni mchezaji Mwingereza aliyewahi kutamba sana mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.

Hivi karibuni vyombo vya habari vimekuwa vikimzungumza sana lakini nionanvyo mimi kama ni mpira tu Beckham hana chake. Umri unamtupa mkono na lazima akumbuke kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho. Hata Pele alivuma sana lakini sasa ni historia. Beckham lazima afahamu hilo.

1 comment:

Belo said...

Beckham tangu ameenda Italy AC Milan kiwango chake kimeimarika hadi Milan wanataka kumsajili moja kwa moja ingawa wao walimchukua ili kuongeza mapato ya klabu hasa jezi
Lengo lake ni kucheza kombe la dunia mwakani hapo Sauzi
Paulo Maldini(40),Edwin Van der sar(38), Ryan Giggs(35) wote wana umri mkubwa lakini viwango vyao utafikiri wana miaka 20