Friday, January 2, 2009

Lengo ni kuning'iniza posts 365!

Mwaka wa jana niliweka lengo la kuning'iniza post 100 kwenye blog yangu baada ya baadhi ya wasomaji wangu kunibeza kwa kuning'iniza posts 16 tu kwa mwaka 2006 nilipofungua blog yangu na hali ikawa hivyo kwa mwaka uliofuata(2007). Wapenzi wa Banzi wa Moro walikatishwa tamaa na mwenendo huo.

Kunibeza kwao kulinifanya niweke lengo mwaka wa jana (posts 100). Namshukuru Mungu kuwa nilivuka lengo kwa kupost 195! Mwaka huu naweka lengo jipya la post 365! Tuombe Mungu. Wapenzi wa Banzi wa Moro msichoke kufuatilia blog hii. Nawaomba sana mwaka huu mtume maoni yenu.

Karibuni

2 comments:

meab said...

hi bro happy new year 2009.Hongera sana kwa kuvuka lengo la post.watu kama nyinyi ndio mnatakiwa kwa maendeleo ya dunia.all we need is determination not even mopney.
we will support you this year and u will break the target this nyear also. all u need is one post a day.
keep it up bro!
your sis, Meab Clara Mdimi

Belo said...

Im not compete with anyone but myself, my goal is to beat my last performance-Bill Gates


Keep it up tupo pamoja