Thursday, July 25, 2013

KARIBU MKOA WA MOROGORO

Mkoa wenye watu wapole, wanawake na wanaume wazuri,wenye heshima, wavumilivu na wachapakazi,wapenda michezo hasa mpira wa miguu pamoja na muziki. Moro kwenye mabonde na milima,mbuga, na maji yanayotiririka mwaka mzima,Bwawa la Mindu, Chuo Kikuu cha Kilimo, Chuo Kikuu cha Waislamu, Chuo Kikuu Mzumbe, Kituo cha Utafiti wa Kilimo Cholima Dakawa,Kituo cha Utafiti Kilimo Ilonga, Kituo cha Utafiti wa Kilimo KATRIN Ifakara, Taasisi ya Utafiti wa Malaria-Ifakara, Bwawa la kuzalisha umeme-Kidatu,Chuo cha wakulima Mkindo,Chuo cha Ualimu Ilonga, Chuo cha Ualimu Mhonda, Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI), TV ABOOD, ABOOD BUS SERVICED, HOOD BUS SERVICES. Vyakula vingi kama mpunga,mahindi,mtama,muhogo,maboga,viazi vikuu,magimbi. Mboga za mwidu,derega,mchunga,bwasali, bamia,nyanya chungu,tunguja,nyanya maji,mwage,matango Matunda ya machungwa,ndizi,maembe,pasion,mafenesi,mashelisheli,tikitimaji. MORO SAFI SANAAA! KARIBU

No comments: