Thursday, July 18, 2013

Wanauza pepeta kwenye kivuko cha mto Kilombero

Akina dada wa Ifakara wakiuza pepeta (Rice flakes) katika kivuko cha mto Kilombero.Mpunga si kwa ajili ya wali tu. Mpunga unaweza kutumika kwa matumizi mengine kama vile pepeta, vitumbua pumba zake kama mbolea pamoja na kutengeneza kinywaji haya ni baadhi tu ya faida ya kulima mpunga.

No comments: