Sunday, July 7, 2013

Mtafiti kijana wa Ilonga

Tanzania imeanza kuajiri watafiti wapya wa Kilimo takribani miaka mitano iliyopita. Pichani mtafiti kijana akitoa maelezo ya utafiti anaoufanya kwenye zao la mahindi kituoni Ilonga.

No comments: