Friday, July 12, 2013

Maelezo kutoka kwa watafiti wa mpunga Cholima-Dakawa

Utafiti wa zao la mpunga umeendelea kufanyika nchini Tanzania kwa miaka mingi. Kituo cha Utafiti wa Kilimo Cholima -Dakawa ndiyo waliozalisha mbegu ya mpunga ijulikanoyo kwa jina la SARO 5 ambayo sasa imeanza kusambaa kwa haraka hapa nchini kutokana za sifa zake.

No comments: