Tuesday, July 23, 2013

Nilikabidhi msiba kwa baba zangu

Nilipofika nyumbani kijijini Nige, Kariakoo, Matombo, Morogoro nilikabidhi msiba kwa baba zangu Emil Bongwa na Kassian Mabwe (Pichani kutoka kushoto kwenda kulia) ni taratibu za familia ya baba zangu nasi tunaziheshimu na tunawaheshimu sana.

No comments: