Sunday, July 7, 2013

Watumishi wa misa

Hawa wamenikumbusha enzi zangu takribani miaka 40 iliyopita nilipokuwa nikitumikia katika Kanisa la Parokia ya Matombo.Watumishi hawa walitumikia misa takatifu kwenye tamasha la vijana wa Dekania ya Kigamboni.

No comments: