Sunday, July 7, 2013

Mtafiti kijana mwanamke

Mtafiti kijana mwanamke akitoa maelezo ya utafiti kwenye kijishamba cha majaribio katika kituo cha Utafiti Ilonga. Hii ni njia nzuri ya kuwajengea uwezo watafiti vijana na hasa wanawake.

No comments: