Thursday, July 18, 2013

Mwali amepanda 'bodaboda'

Baada ya shughuli mwali anasafirishwa kwa kutumia pikipiki kurudi nyumbani. Gharama yake ni ndogo na pia unatumia muda mfupi bila ya kumchosha abiria. Pamoja na matatizo yanayojitokeza hasa ajali za mara kwa mara, bado pikipiki zimerahisha usafiri wa vijijini.

No comments: