Wednesday, July 17, 2013

Ufunguzi wa Kituo cha Utafiti KATRIN -Ifakara

Kituo cha Utafiti wa Kilimo KATRIN kilichopo Ifakara kimefunguliwa rasmi tarehe 22/3/1970  na Baba wa Taifa Mwl. J.K.Nyerere saini yake inapatikana katika kitabu cha wageni cha kituo hicho. Hakika ni kumbukumbu nzuri.

No comments: