Sunday, July 7, 2013

Masista wakipata msosi

Masista waliohudhuria tamasha la vijana wa Dekania ya Kigamboni wakipata chakula cha pamoja. Masista hawa walionyesha ushirikiano na upendo mkubwa kwa vijana. Walishiriki kwenye ibada hadi kwenye maonyesho ya michezo mbalimbali iliyoonyeshwa na vijana.

No comments: