Thursday, July 18, 2013

Nyumba ya Kisasa ya wageni mjini Kilosa

Kilosa sasa kumekucha  hakuna shida ya nyumba za wageni kama ilivyokuwepo miaka 10 iliyopita.Nyumba nyingi mpya na za kisasa zimejengwa mjini Kilosa.

No comments: