Wednesday, July 17, 2013

Shambani Lumemo - Ifakara

Toyota-Landcruiser, gari hili linafaa sana kwa shughuli za shambani kama vile za utafiti kilimo. Bw . Omari Kizito na Shuhu Jr wamekuwa wakiendesha gari la aina hii wakiambatana na watafiti vijijini. Hapa wapo kwenye shamba la Utafiti KATRIN katika mto Lumemo-Ifakara.

No comments: