Friday, July 12, 2013

Utafiti wa mtama kituoni Ilonga

Utafiti wa zao la mtama unafanyika katika kituo cha Utafiti Ilonga. Aina za mtama hutafitiwa ili kupata aina inayopendwa kwa matumizi mbalimbali.

No comments: