Thursday, December 31, 2009

KWAHERI 2009 KARIBU 2010

Pamoja na changamoto nyingi zilizojitokeza kwa mwaka 2009. Namshukuru Mungu mwaka 2009 ulikuwa wa mafanikio kwangu. Nawashukuru wote walionisadia kufikia malengo yangu. Nawashukuru wote waliopata fursa ya kupitia blog hii. Shukurani za pekee zimwendee Prosper Bello aliyekuwa wa kwanza kufuatilia blog hii na kutoa maoni yake. Namshukuru pia mfuatiliaji wa pili aliyejitokeza mwaka huu ambaye ameonekana kuwa mfuatiliaji mzuri wa Banzi wa Moro (Haja taja jina). Ingawa nimeshindwa kufikia lengo la kuning'iniza vitu 365 lakini 250 nazo si haba nimevunja rekodi ya mwaka jana. Endapo Mungu akinijalia nikaweza kumiliki camera yangu mwenyewe naahidi kuwaletea vitu vizuri mwaka 2010. HAPPY NEW YEAR.

1 comment:

Belo said...

Nakutakia Heri ya mwaka mpya pamoja na familia yako.Hata kama lengo la post 365 halikufikiwa bali umevunja rekodi ya mwaka uliopita Hakuna kurudi nyuma