Wednesday, September 12, 2012

Banda bora la mbuzi

Kituo cha Utafiti wa Mifugo - West Kilimanjaro imejenga mfano wa banda bora la mbuzi.Hii inasaidia kwa wafugaji kujifunza na kuweza kujenga banda kama hilo katika kuboresha ufugaji wa mbuzi.(Picha kwa hisani ya Livingstone Mwedipando-Kituo cha utafiti Selian, Arusha)

1 comment:

Unknown said...

hilo banda linauwezo wa kuchukua mbuzi wangapi na lina vipimo gani