Tuesday, September 4, 2012

Tulichokiona Wariko-Bunda

Nikiwa kwenye timu ya kukagua utekelezaji wa mradi wa EAAPP kanda ya Ziwa. Wtafiti wa Ukiriguru walitupeleka hadi waliyani Bunda katika kijiji cha Wariko ambako wanafanya majaribio ya kupata mbegu bora za mihogo zitakazosaidia kuhimili magonjwa

No comments: