Saturday, September 8, 2012

Mpambe wa nguvu

Ndoa inataka uwe na mpambe wa nguvu kama anavyoonekana mpambe wa Bw. Isaya Mwanguo Bw. Peter akiwa ametulia tuli kanisani. Bw Isaya na Peter wote wanatoka Jumuiya ya Mt. Joseph - Parokia ya Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam.

No comments: