Tuesday, September 4, 2012

Ukarabati wa Kituo cha Ukiriguru

Juhudi mbalimbali zinafanywa kupitia serikali kuweza kukarabati kituo cha Ukiriguru. Hapa Mtafiti Mkuu Dr. Geophrey Kajiru akitoa maelezo kwa timu kutoka makao makuu ya wizara iliyokwenda kukagua utekelezaji wa Mradi wa Uzalishaji na uongezaji tija katika kilimo kwa nchi za Afrika Mashariki (EAAPP) ambao pamoja na kugharamia baadhi ya tafiti umekarabati baadhi ya ofisi za kituo cha Ukiriguru hasa zinzohusika na utafiti wa udongo na maji.

No comments: