Saturday, September 8, 2012

Wapambe wengine hawa

Kutoka kushoto Maria Banzi na Elizabeth Banzi nao walikuwa wapambe waharusi hawakukosa sare ya harusi.

No comments: