Saturday, September 8, 2012

Mwenzangu pokea pete hii

Wiki moja imetimia tangu Bw na Bibi Isaya wabariki ndoa yao Kanisani St. Vincent wa Paulo - Vikindu tarehe 1/9/2012. Waliweka nadhiri nakuvishana pete kama wanavyoonekana pichani.

No comments: