Tuesday, September 4, 2012

Utafiti kwa wakulima

Wtafiti wa Ukiriguru hufanya utafiti kituoni na kwenye mashamba ya wakulima. Pichani wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika wakipata maelezo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kuhusu utafiti wa mpunga katika mashamba yao wakiongozwa na watafiti kutoka Ukiriguru.

No comments: