Saturday, September 8, 2012

Mwili wa Kristu

AMINA. Baada ya kukaa kipindi kirefu bila ya kupokea mwili wa kristu. Bw. na Bi Mwanguo wanapata fursa hiyo baada ya kubariki ndoa yao.

No comments: