Saturday, September 8, 2012

Hii ni damu ya KRISTO

Hii ni damu ya KRISTO. Ndivyo asemavyo Padri Mathayo-Paroko wa Parokia ya Mt. Vicent wa Paulo, Vikindu wakati alipoendesha ibada ya ndoa takatifu ya Bw.na Bibi Isaya Mwanguo tarehe 1/9/2012.

No comments: