Saturday, September 8, 2012

Somo lilisomwa na Mwl. Nkwera

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bright Angels ambaye pia ndiye aliyekuwa Katibu wa Kamati ya maandalizi ya sherehe ya kuwapongeza Bw. na Bi Mwanguo kwa kubariki ndoa alipata fursa ya kusoma somo kutoka katika Biblia Takatifu.

No comments: