Tuesday, September 4, 2012

Ushirikiano na Halmashauri

ofisini kwa DED-Bunda
Ushirikiano kati ya uongozi wa Halmashauri ya Bunda na watafiti wa Ukiriguru ni wa hali ya juu. DED anamfahamu mtafiti Dr. Geophrey Kajiru wa Ukiriguru kwa kazi yake ya utafiti wa mpunga kijijini Nyatwali. DED wa Bunda Bw. Oyiri naye ni mkulima katika skimu ya umwagiliaji ya Nyatwali. Oyiri ameweza kuvuna magunia yapatayo 42 kwa ekari moja katika skimu ya umwagiliaji Nyatwali.

No comments: