Tuesday, September 4, 2012

Kituo cha Utafiti wa Kilimo-Ukiriguru

Kituo cha Utafiti wa Kilimo-Ukiriguru kilichoko mkoani Mwanza huenda kikawa ni kituo kongwe cha utafiti hapa nchini takribani miaka 90 iliyopita. Enzi za wakoloni kilijikita zaidi katika utafiti wa pamba hivi sasa kinaendesha utafiti katika mazao mbalimbali kama vile muhogo, viazi vitamu,mpunga, mbaazi,kunde pia utafiti wa rutuba ya udongo, mifumo ya kilimo na uchumi jamii. Kituo hiki kina watafiti waliobobea 5 PhD, 20 MSc, na 18 BSc.

No comments: