Thursday, January 3, 2013

Baada ya kutoka Kanisani

Tarehe 1/1/2013 nilihudhuria ibada takatifu Parokiani Vikindu. Baada ya kutoka kanisani na kuvua koti nilikuwa kama hivi ndani ya T-Shirt ya AFRICANA (Kibanda Kimoja)na tai ya TTCL original!

No comments: