Monday, January 7, 2013

Wataalamu karibu na wafugaji Arusha

Hivi karibuni sekretarieti ya huduma za uchumi na uzalishaji mkoa wa Arusha iliwatembelea wafugaji wa wilaya ya Monduli na kukutana na mfugaji Kimani Marende Ipanga wa Kijiji cha Alkatan ambaye amefanikiwa kuboresha ng'ombe wake wa asili na kupata chotara ambao kwa ubora wao ameweza kuwauza baadhi ya ng'ombe na kubadilisha maisha yake na kuwa ya kisasa zaidi( Picha kwa hisani ya Bw. Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian-Arusha)

No comments: