Monday, January 7, 2013

Tutoke huku

Ng'ombe wengi lakini maisha duni.Angalia nyumba zilivyo. Lakini akiuza baadhi ya ng'ombe walio kwenye kundi hili anaweza kubadilisha maisha yake.

No comments: