Friday, January 4, 2013

Vituko vya Baloteli

Mwezi wa Desemba mwaka 2012 katika blog yangu nilimuonyesha Baloteli akitabasamu kwa furaha. Jana na leo kwenye vyombo vya habari amenukuliwa kukunjana na kocha wake Rober Manchini wa Manchester City. Huyo ndiye Baloteli

No comments: