Monday, January 7, 2013

Ng'ombe imeleta 'solar'

Mfugaji Kimani wa kijiji cha cha Alkatan wilayani Monduli ameweza kufunga umeme wa jua (solar) kwenye nyumba yake. Angalia kwenye paa, angalia pia mlingoti inamaana hata TV anaona. Kweli tunaweza kuwabadilisha wafugaji wetu wakawa na maendeleo. Ufugaji bora unalipa. (Picha na Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian, Arusha)

No comments: