Friday, January 4, 2013

Mazingira yanavyotunzwa Arusha

Mkoa wa Arusha umedhamiria kutunza mazingira yake ikiwemo misitu na mito. Pichani wanaonekana wajumbe wa kamati ya mazingira ya mkoa wakikagua msitu katika mto Olkeju Loormwark huko Olmotonyi hivi karibuni (Picha kwa hisani ya Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian, Arusha)

No comments: