Thursday, January 3, 2013

Birthday ya Maria

Nyumba yetu imebahatika kuwa na mtoto aliyezaliwa tarehe 1 Januari aitwaye Maria Banzi.Maria anaijua siku yake ya kuzaliwa tangu azaliwe mwaka 2006 kila mwaka siku hiyo huazimshwa!Sitaki maswali kuhusu keki!

1 comment:

Belo said...

Happy Birthday Maria,nakutakia maisha marefu