Monday, January 7, 2013

Kutana na mfugaji Kimani Marende

Mfugaji Kimani Marende Ipanga wa kijiji cha Alkatana wilayani Monduli amefanikiwa kuboresha mifugo yake ya asili kwa kutumia dume bora la ng'ombe aina ya Sahiwal. Matokeo yake anazlisha ng'ombe wenye uzito mkubwa na kuwauza kwa bei nzuri. Kwa mpango huo wa kuboresha ng'ombe wa asili, Kimani ameweza kujenga nyumba bora ya kisasa na kuwasomesha watoto wakae katik shule za kimataifa mjini Moshi na Arusha (Picha na Livingstone Mwedipando)

No comments: