Friday, January 4, 2013

Mkungu wa ndizi

Mkoani Kagera ndizi ni chakula. Kwetu Matombo ndizi ni tunda. Kilimanjaro ndizi ni tunda, kinywaji,chakula na pia mmea wake hutoa majani ya kuezekea kwahiyo tunaweza kusema ni nyumba- mbura! Angalia jinsi Tanzania tulivyobahatika kuwa na aina mbalimbali ya mazao yanayoweza kutumika kwa chakula, kinywaji, ujenzi na matumizi mengine ya viwandani. Hivi tunataka Mungu atupe nini? Tafakari(Picha hii ni kwa hisani ya Bw. Livingstone Mwedipando ARI-Selian, Arusha)

No comments: