Tuesday, January 8, 2013

Uzalishaji wa mbegu za msingi

Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian mkoani Arusha kinaendelea na uzalishaji wa mbegu za msingi wa mazao mmbalimbali likiwemo zao la mahindi. Pichani Mtafiti Akonaay akikagua zao hilo kituoni Selian.Mbegu za msingi ni hatua ya kwanza ya uzalishaji mbegu ni muhimu kwa uzalishaji wa mbegu duniani kote.

No comments: