Tuesday, November 1, 2011

Ajali faraja




Juma lilipita nilisafiri kwenda Morogoro kikazi nikitokea Dar. Tulipokaribia Chalinze tulikuta msururu wa magari. Kuuliza ni ajali.Lori lilobeba kunde limegonga. Barabara ilikuwa imetapakaa mbaazi. Wananchi nao haukujivunga waliokota mbaazi hizo kwa matumizi yao.

No comments: